kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
Hapo umejibu swali la 4 tu.Hayo ya 1,2 na 3 vipi?Mimi sio mbobezi kwenye afya kwa kuwa umeliweka hili bandiko kwenye jukwaa la madaktari ila ni mwanaume.
Najaribu kuelezea kwa uzoefu wangu.
Pale mwanaume au binadamu yeyote anapofanya kitu kinachohusisha utumiaji wa nguvu, nafikiri inasababisha kujikaza kwa anus, ndio maana wengi hujikuta wamepumua kwa sauti kwenye baadhi ya matukio. Kwa mantiki hiyo, siwezi kuainisha moja kwa moja ni matukio gani kati ya hayo uliyoyataja yanahusiana na anus ila nnachoweza kusema ni kwamba, matendo yanayotumia nguvu huhitaji kujikaza, usipokua makini unaaibika. Ni hayo tu.
Hapo umejibu swali la 4 tu.Hayo ya 1,2 na 3 vipi?
Nifafanue zaidi swali la 4,hauhusi kuhusika kwa namna yoyote ile kwa penis au anus UNAPOHEMA/UNAPOPUMUA kwa kutumia pua au mdomo?,simaanishi kupumua kwa anal.Namaanisha penis na anal hazihusiki kwa namna yoyote ile katika respiratory system?
Siyo kutumia nguvu wala kuziba pumzi.Ahsante kwa kuendelea kuboresha mjadala mkuu, kwa ufupi naweza kusema tendo lolote la kujikaza (Kutumia nguvu) linahusisha anul. Sasa kwa kuwa kujikaza mara nyingi inaathiri mfumo wa upumuaji, nashindwa kuelewa ni kutumia nguvu au unapoziba pumzi kunakoshirikisha anul? Ikumbukwe vyote vinatokea kwa mara moja.
Siyo kutumia nguvu wala kuziba pumzi.
Ni kuhema/kupumua kwa kawaida tu kwa kutumia pua au/na mdomo.Kwa mfano unahema ukiwa umekaa.
Hapo sasa nafikiri imeeleweka.Hiyo acha niwasubiri wataaluma mkuu. katika mazingira ya kawaida naona kama hakuna mahusiano ya moja kwa moja zaidi ya ile tunayotumia kwenye msemo wa kupumua kwa pande zote mbili.
Na ndani ya mwili,ni kiungo gani kinacho-join penis na anal?Ukitumiaa nguvu nyingi kwenye kaza basi anus huaa inabana Sana'a na control ya power of body inapopatikana sisi ukukwetu milimani (Moro uluguruni tunasemaga nguvu kulukundu
Vipi unapojisaidia haja ndogo.Uhusiano wa hivyo viungo ni ukaribu.
1.pubococcygeal muscle.USILETE UTANI KWENYE HILI,KAMA UNAJIJUA WEWE NI MTU WA KU-COMMENT UPUUZI NI BORA USI-COMMENT.
1) Ni kitu gani kinacho-connect penis na anus?
2) Kuna uhusiano wowote wa penis na anus unaouhisi wakati unajisaidia haja ndogo?
3) Kuna uhusiano wowote wa penis na anus unaouhisi wakati wa ku-ejaculate?
4) Hauhisi kuhusika kwa penis au anus unapohema?
Nataka maelekezo kwenye vipengele vyote vinne Mkuu.1.pubococcygeal muscle.
2.yes! there is relaxation of these muscle.
3.yaahh there is contraction of these muscle.
4.yes!! there is involvement of penis and anus during breathing ( sijui kama hapa ulitaka maelezo)
Ngoja watalaam waje wafafanue zaidi.Nahisi kuna uhusianao mkubwa sana kati ya anus na penis kwa sababu unapo jisaidia haja ndogo especially unapobaki ule wa mwishoni utakuta anus inakaza sana . Hata wakati wa ejaculation utakuta anus pia inakaza sana . so kitabibu sijui kuna uhusiano gani ila nahisi kuna baadhi mashipa inaunganika kati ya anus na penis.
Huu msuli pengine una kazi nyingi sana.Kwa kifupi ni kuwa huo msuli uliotajwa na mkuu @ real 1 (pubococcygeal) ndio msuli unaosaidia kuongeza ufanyaji kazi ya misuli inayofunga njia za mkojo na haja kubwa (urethral and anal sphincters). Pale unapoongeza pressure ghafla tumboni e.g. unaponyanyua kitu kizito, ukikohoa msuli huo unakaza hivyo kufunga njia ya mkojo na haja kubwa. Kwa wale ambao msuli huu umedhoofika utawasikia wakijamba mara wanapokohoa au wakinyanyua kitu kizito.