#COVID19 Maswali kwa wizara ya afya

FRUIT TREE

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2018
Posts
700
Reaction score
828
Wizara ya Afya Tanzania.

1. Aina za chanjo zitakazotumika kuchanja ndani ya Nchi yetu kwa kuzingatia manufacturer na mahali ilipotengenezwa?

2. Chanjo hiyo itakayotumika kuchanja,je,imefanikiwa kwa kiwango gani katika sehemu ilipotumika kabla?

3.Je,ni sahihi chanjo kutolewa kwa mtu ambaye hajapimwa kuwa na covid na endapo mtu atapewa chanjo endapo tayari anaugua covid,je kitatokea nini?

4. Ni namna gani chanjo hiyo inafanya kazi mwilini?

5. Je,chanjo ya Covid itakayotolewa inamkinga mtu kwa aina zote za virusi wa Corona?

6. Kwa kuzingatia swali namba 5 hapo juu,je,kama jibu siyo kweli je,tutachanja chanjo ngapi mpaka tuseme sasa chanjo hii ni ya maisha?


Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…