mti wa bib
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 138
- 120
Hapo chini ni maswali ambayo tumuulizie kocha amunike atakapotua tanzania...
1.kwanini umepanga kikosi kibovu tulipokuwa tunacheza na Lesotho??
2.kwanini umewahujumu watanzania kwa macho ya wazi???
3.kwanin unakuwa na hasira sana na wachezaj wa simba kwan hamkumaliza tofaut zenu????
4.........
5.........
Endelea