mti wa bib
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 138
- 120
Haukuwa mmoja wa makocha waliomba kibarua cha kufundisha timu ya Taifa ya Lesotho......Hapo chini ni maswali ambayo tumuulizie kocha amunike atakapotua tanzania...
1.kwanini umepanga kikosi kibovu tulipokuwa tunacheza na Lesotho??
2.kwanini umewahujumu watanzania kwa macho ya wazi???
3.kwanin unakuwa na hasira sana na wachezaj wa simba kwan hamkumaliza tofaut zenu????
4.........
5.........
Endelea
Jamaa anawachukia Simba Ile vibaya, anaona bora apange mediocre players kutoka vilabu vya kati kuliko wachezaji wa Simba. Au kwa kuwa hawavai jezi za kijani kama Nigeria eh.Haukuwa mmoja wa makocha waliomba kibarua cha kufundisha timu ya Taifa ya Lesotho......
Wachezaji Wa Simba wajitoe tu maana kocha anawaita kuondoa maneno tu ila hawaitaji bora atuachie waitumikie club yetuJamaa anawachukia Simba Ile vibaya, anaona bora apange mediocre players kutoka vilabu vya kati kuliko wachezaji wa Simba. Au kwa kuwa hawavai jezi za kijani kama Nigeria eh.
Yeye sio kocha sio lazima kocha amsikilize na kufuata anachosema, ameshajiona star wakati timu yake inaburuza mkiaBeki wa kimataifa wa Tanzania anaecheza soma la kulipwa nchini Africa Kusini kwenye klabu ya baroka Fc inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo maarufu kama ABSA PREMIER LEAGUE.
ABDI HASSAN BANDA amejitoa timu ya taifa mpaka muda wa Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania mnigeria Emmanuel Amunike utakapomalizika.
Hayo yametokana na Mara baada ya kutoa ushauri kabla ya mchezo wa Lesotho kwa kumwambia awatoe mabeki katika nafasi za mawinga na kuwaweka nafasi zao wanazochezaga. Kocha Huyo alikataa na kumtoa nje ambapo beki huyo kisiki alikabidhi jezi yake kwa wachezaji wenzake na kuwaambia hachezi tena national team mpaka muda wa Kocha huyo utapomalizika na kuamua kupanda jukwaani kukaa na mashabiki kuangalia mtanange huo ambapo Tanzania ilipoteza kwa kukubali kipigo cha goli moja kwa sifuri.**
Nini maoni yako kwa ABDI Banda
Instagram @kevyn_Jr
Whatsup number 0753576251
E-mail calvin13wazza@gmail.com