Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Hicho kibinti hakijawahi kuwa na akili, hata hiyo PhD iliwahi kutajwa kuwa huenda ina uhusiano na pants downFuatilia video hii hadi mwisho.
View attachment 2658947
Maswali muhimu;
Nini kipo nyuma ya hii IGA?
Iweje bunge lilikuwa haliataki maoni kinzani ya kuupinga mkataba huu?
Ni ajabu Spika Tulia na Naibu wake Zungu kumzingira pande zote mbung Aida Kenani (CHADEMA) kwa kuwa hakubaliani nao!
BUNGENI KUNA UPIGAJI WA KUTISHA ILI FEDHA ZIWE ZA KAMPENI 2025Fuatilia video hii hadi mwisho.
View attachment 2658947
Maswali muhimu;
Nini kipo nyuma ya hii IGA?
Iweje bunge lilikuwa haliataki maoni kinzani ya kuupinga mkataba huu?
Ni ajabu Spika Tulia na Naibu wake Zungu kumzingira pande zote mbung Aida Kenani (CHADEMA) kwa kuwa hakubaliani nao!
Open legsHicho kibinti hakijawahi kuwa na akili, hata hiyo PhD iliwahi kutajwa kuwa huenda ina uhusiano na pants down
Labda polisi waende likizoKijana acha kulilia piga kura yako Linda kura yako miaka mitano ni parefu.
Wide openOpen legs
Ngoja wazee wa hashtag ya DP world waje wakiongozwa na.. bi Faiza na GUSSIE huku pembeni yupo comred Lord denning!!!Fuatilia video hii hadi mwisho.
View attachment 2658947
Maswali muhimu;
Nini kipo nyuma ya hii IGA?
Iweje bunge lilikuwa haliataki maoni kinzani ya kuupinga mkataba huu?
Ni ajabu Spika Tulia na Naibu wake Zungu kumzingira pande zote mbung Aida Kenani (CHADEMA) kwa kuwa hakubaliani nao!
Ni ajabu sana..Spika ni mwanasesere wa Samia msaliti.
Nadhani pengine hata hajui yupo pale kama Spika ili afanye nini..Pale hakuna Spika ile ni takataka tupu