Maswali magumu kwa Feisal, katika barua yake kwa TFF amejimaliza mwenyewe.

Sasa hivi wakala wa feitoto Jasmin anazunguka kwenye vyombo vya habari kutafuta huruma
 
Unaongea upumbavu mwamba!
 
Unazungumzia vipi swala ambalo bado lipo TFF na linasubiria maamuzi kwenye vyombo vya habari, sasa naona wanatafuta Sympathy ila ndio hivyo Sympathy na sheria havikai nyumba moja.
 
Ikiwa kumbukumbu zangu sipo Sawa ni kwamba huyo wakili wake alifutiwa leseni ya uanasheria hapa Tz bara ,je anakubaliwa vipi na tff kuingia kwenye vikao km mwanasheria au ndo hayo mambo ya kubebanabebana
 
Ikiwa kumbukumbu zangu sipo Sawa ni kwamba huyo wakili wake alifutiwa leseni ya uanasheria hapa Tz bara ,je anakubaliwa vipi na tff kuingia kwenye vikao km mwanasheria au ndo hayo mambo ya kubebanabebana

Tff siyo mahakamani. Ninaweza kukuchukua hata wewe ukaniwakilisha ili mradi nimeamini unauelewa na ninaimani nawe.

Ila pia alisharudishiwa baada mama mwenye kuupiga mwingi kuwepo kitini.
 
Ungekaa kimya tusingejua ni empty set
 
Tusaidie hizo taratibu hapa ambazo mawakili wasomi wameshindwa kuzijua ila wewe na yanga Ndio mnazifahamu
🤣🤣 Sasa mkuu utaratibu ni kwamba mkataba unavunjwa baada ya pande mbili kukaa na kukubaliana. Fei aliitwa jae afanye mazunguzmo na yanga ili mkataba uvunjwe lakn mpka sasa haendi unaategemea nini. Acheni ushabiki kwenyw uhalisia
 
Unazungumzia vipi swala ambalo bado lipo TFF na linasubiria maamuzi kwenye vyombo vya habari, sasa naona wanatafuta Sympathy ila ndio hivyo Sympathy na sheria havikai nyumba moja.
Nimesoma sehemu ya maelezo yake kwenye page za Shaffi, inaonekana yule mama siyo smart kama baadhi ya watanzania wanavyo fikiri. Kama hawaja mnukuu vibaya basi kichwani hana kitu. Anahoji uhalali wa Kamati wakati anajua fika ina approval ya FIFA na ndiyo hiyo hiyo kamati imekuwa ikiamua mashauri mbalimbali.
 
Acheni ununda na upumbavu wa kishabiki

Hiyo ni barua yako, ya Ramadhani Elias au Feisal?

Weka kopi ya barua ya Fei hapa tusome wenyewe.
 
Tafuta mahojioano yake youtube, Icho ni kpande tu mbele kaelezea, Aliomba ufafanuzi Tff wakamfafanulia..
 
Mkataba wa Feitoto unaisha May 2024, timu inayomtaka inaenda mezani Yanga wanalipa 1B wanasepa na dogo kwa Mpalanger!

Shida Iko wapi?
 
Hiyo barua ambayo fei kaandika Kuna klabu inampa ushirikiano ninahitaji kuiona la sivyo hizi ni porojo tu
 
Kwani kuvunja mkataba kwa utaratibu si kufata mkataba unavyosema? Alipe signing fee na mishahara ya miezi mi3, na hivi kafanya sasa yanga inataka utaratibu upi mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…