Maswali magumu kwa naibu waziri mulugo

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Maswali magumu kwa mulugo,

1.form six alipata ngapi?
2.ana taaluma gani na ya kiwango gani?
3.amesomea chuo gani hiyo taaluma yake?
4.alikuaje h/master akiwa na cheti cha form six tu?
5.kwnn aliiba mitihani mwla 2003 na kuharibu hatma ya maisha ya watoto maskini?
6.alipitishwaje kugombea ubunge akiwa form six leaver?
7.alikutana wapi na rais kikwete?
8.kwanini kikwete alimteua waziri huku akijua ni form six leavers?
9.kwanini hakuundiwa wizara mpya ya maji taka akapelekwa huko badala ya kupewa wizara ya elimu wakati hana elimu?
10.haoni yeye kuwa form six leaver na waziri wake (kawambwa) kuwa na phd kunafanya washindwe kucollocate wizarani?
11.haoni yeye ni chanzo cha matokeo mabovu ya kidato cha nne mwaka jana?
12.alipata wapi moral authority ya kuzifungia shule zenye waalimu form six leaver wakati nae ni form six leaver?

Mulugo naomba majibu.
 
Kwasababu wapo waliopitishwa kugombea ubunge wakiwa na elimu ya darasa la saba. rejea kwa profesa maji marefu.
My point is kigezo cha ubunge katika kipengele cha elimu ni elimu ya darasa la saba.(naweza sahihishwa)
Kwanini mkuu?
 
hayo ya mulugo na wengine ambao wapo wengi ni matunda ya mfumo hovyo wa ccm wa kukumbatiana,hata wakibofoa vipi hakuna kufukuzana na ni utekelezaji wa Ilani ya CCM 'huyu ni mwenzetu'

kuna matajiri wanakwepa kodi lakini ni wafadhili namba moja wa ccm,nani atawakoromea?,TRA au?,chezea mwenye pesa weweeeeeeee?
 

Akina Lakairo na elimu zao za standard seven.
 
swali kama hili ukiwa ktk nchi kama uingereza utatamani ardhi ipasuke uzame huko. Ila kwa hapa bongo wala siyo swali. Leta nyingine . Hapa hakuna cha moral authority wala accounatbility walioko juu ni kuwaondoa tu. It means overhauling the whole system. Huna haja ya kujiuliza kwa chochote hata ukiona mtu anachinjwa usiwahoji polisi kwani ndo utawala wetu ulivyo hauna aibu wala moral authority achilia mbali accountability
 
Namjibia mulugo yote lkn sintafuata mtiririko.
1.shule si kigezo bongo.
2.maswali mengine mwulizeni alieniteua kwa sbb siwezijua anatumia nini kuteua? labda anaanado.
3.mimi ni fighter kufeli std 7 na kupigana mpaka kuwa waziri mlitakiwa kunipongeza.
 
Hamimu Hassan (Mulugo) ni mjanja mjanja tu.
 


sifa za kugombea ubunge unazijua? mjomba ukijua kusoma na kuandika inatosha, form six mbwembwe!!!!
 
JINA HALISI: Philipo Augustino Mulugo
ELIMU: "FAILURE" Darasa la Saba, 1988
JINA FEKI: Hamimu Hassan
ELIMU: Darasa la Saba, 1989 (Baada ya kufeli mwaka 1988)
JINA FEKI: Hamimu Augustino
ELIMU: "O-Level" 1990~1993
JINA FEKI: Hamimu Mulugo
ELIMU: "A-Level" 1994~1996
JINA FEKI: Dick Aron Mulungu
KAZI: Mwalimu katika Shule ya Sekondari ya Southern Highlands. Hii ni baada ya kutumia vyeti vya rafiki yake aitwaye Dick Aron Mulungu ili kupata kazi ya ualimu. Pamoja na kutokuwa na cheti cha ualimu, aliteuliwa kuwa "headmaster" baada ya mmiliki wa shule hiyo kufariki.
LEO HII: Philipo Augustino Mulugo ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…