Maswali Magumu


Kama ni obvious mbona hujayajibu? ningekushauri urudie kuyasoma....
 
Kama ni obvious mbona hujayajibu? ningekushauri urudie kuyasoma....
majibu ya maswali yako yote ni nature, hivi vitu vyote vinakuwa determined na nature. Pale mtu anapotoka kwenye utaratibu wa asili kwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na jinsia moja au na ndugu wa damu atakuwa na matatizo ya akili. Uhusiano wa mapenzi unaweza usiwe unaconclude kwenye ngono, mnaweza kuwa ma soulmate yaani mapenzi yenu yamepita ile level ya kimwili mmeunganika kiroho ukifikia level ya kumpata soulmate wako nina uhakika utojali sana kumset free ukiamini mapenzi yenu ni ya milele. All in all mapenzi ni hisia kama mapenzi yenu yanaunganishwa kimwili ni lazima ujisikie vibaya mwili wa mwenzi wako unapotumika pengine. Mapenzi ni vile unavyojisikia.
 

i guess kama tungekuwa tunajibu kila kitu kuwa ni nature tusingejifunza juu ya gravity, na vitu vingine kibao. Tunajaribu kuangalia ni namna gani tunaweza kutofautisha hii hisia. Kama hujui sema tu sijui. Lakini using'ang'anie kuwa ni rahisi au nature!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…