kijazi07
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 1,031
- 2,186
Aseeh kuna maswali huwa sisi wanaume tukiulizwa yanaleta utata na endapo ikitokea umejibu kijinga basi ndo unakosa kila kitu
Hembu tupeane uzoefu jins ya kujibu haya maswali...
1.UMETOA WAPI NAMBA ZANGU?/UMEPATA WAPI NAMBA ZANGU?...haliyakuwa aliekupa amekupa condition kuwa usimtaje!
2. UNASHIDA GANI?/ UNATAKA NN?... hapa ndo pale ukijichanganya una haribu conv yote .
Mm huwa napata wakat mgum hapa naomben uzoefu
Sio kwamba siwez omba namba moja kwa moja hii ni kwa wale watto wa mbali huko wa kuunganishiana juu kwa juu ila kama yupo maeneo kumuibukia safi tu coz vya mbavu nishachezea kama vyote...