Maswali Matatu Tu kwa Bushland

Maswali Matatu Tu kwa Bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,985
Zingatia kichwa cha habari hapo juu, ntajibu Matatu ya mwanzo tu,
Twende kazi
 
Hiyo avatar ni nini kilikushawishi mpaka ukaitumia mkuu?!

2. Kama mwanamke unafanya nini kuhakisha unaleta mabadiliko ya kiuchumi kwenye familia yako?!

3. Kama una watoto, je, ungependa watoto wako wajivunie nini kutoka kwako?!
 
Nilikuwa Rasta, na nilikuwa mpenzi wa rege sana, kati ya watu nilikuwa Nawapenda haswah ni lucky dude,
Mabadiliko ya kiuchumi naleta kwa kupigan a usiku na mchana kuhakikisha mambo yana kwenda sawa, ikiwa ni Pomoja na kufanya au kujishughulisha na shughuli ambazo wengine wanaona hazifai au sio hadhi yao

Watoto wangu Napenda wajivunie uchapa

kazi wangu
 
Selassie I
 
Back
Top Bottom