Tariqfinest
Member
- Jul 13, 2021
- 16
- 23
Nini njaa?
1: Ni kweli muda wa maandalizi kwa kuchanganya waliokuwepo na waliosajiliwa kupata timu tofauti ulikua mchache, walichokimiss yanga ni uwakilishi wa nchi kwa muda mrefu ambao ulitokana zaidi na matatizo yao wenyewe.1, Aina ya sajiri walizofanya kikosini na muda wa maandalizi watawapa mashabiki wao kile walichokimiss kwa muda mrefu ?
2, Kuwakosa Khalid Aucho, Djuna na Mayele kunaenda kuiathiri vipi Yanga ?
3, Kupoteza mchezo wa siku ya wananchi kunaenda kuwapa maswali gani wachezaji ?
4, Uongozi tuka uhukumu kwa matokeo ya mchezo wa leo ?
5, Tabiri ?