PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Habari za leo JF experts, Naomba tumchallange mgombea uraisi Lisu maana ni member hapa JF, Mimi ninayo maswali kadhaa kwake.
1; Kwa upepo aliokuja nao, Kuna kila dalili za yeye kushinda ila pia kuna watumishi wazuri walio ndani ya CCM, Je ataweza kwenda nao au atawatupilia mbali? Maana ndiyo hofu yao
2; Ukiingia madarakani, unamwambia Nini wahitimu wa vyuo ambao hawajaajiriwa tangu 2015?
3; Ukiwa Rais, unawahakokishia nini Polisi na usalama wa taifa maana unaonekana kuwasakama Sana mpaka hata wao kukuogopa kwamba umetumwa na umoja wa mataifa, je akina IGP na wenzie utawatosa kwenye serikali yako?
4; Unawaambia Nini wajasiliamali wanaochangizwa elf 20 kwa kadi za ujasiliamali?
5; Ukiwa Rais, miladi iliyoanziashwa na serikali ya awamu ya tano utaendelea nayo au utaitosa?
6; Mambo gani utayapangua yaliyofanywa na serikali ya Magufuri hata Kama yangeleta manufaa ya baadae?
7; Vyombo vya habari visivyowaunga mkono kwa kuogopa serikali utaviadhibu ukiwa Raisi?
8; Ukiwa Rais unawahakikishia Nini wanaccm wanaotegeana kurudi upinzani kwa hofu kwamba ukishindwa wataweza kusumbuliwa na Mali zao kunyang'anywa?
9; Ukiwa Rais, unawahakikishia nini vyombo vya ulinzi na usalama hasa viongozi maana Sasa hawakuamini kwa hofu kwamba utawatosa ukishinda urais
10; Ukiwa Rais unawahakikishia Nini wananchi hasa walio vijijini walioaminishwa kwamba chama chenu ni kianzilishi cha fujo?
11; Kama familia yako itamaliza masomo huko ulaya, je wataungana na wapambanaji wengine au unaingiza barabarani familia za watu wengine?
12; Ukiwa Rais, ni kweli utaachana na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?
13; Unamwambia nini mwanadiplomasia Dkt. W. Slaa?
14; Utanikumbuka kwenye utawala wako mimi hapa muuliza maswali wa mitandaoni na wenzangu?
Tafadhari Sana, tunakuomba my ujibu mwenyewe hapahapa JF