mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Tumepewa Maneno mengine na maushahidi:
1. Eti bandari zote kapewa/Kauziwa mwarabu wa Dubai?
2. Eti misitu hecta 80,000,000 ameuziwa mwarabu wa Dubai kuvuna hewa ya ukaa?
3. Eti mbuga za wanyama zote wameuziwa waarabu na wakazi wa mbugani wamasai wamefurushwa?
3. Eti sehemu ya bahari na madini navyo vimeuzwa kwa wakorea?
4. Eti na mfaransa naye kamegewa nchi?
Eti mikataba yote ni siri?
Wanabodi natafuta uhakika! Tu ili nitoe ushauri kama raia mlipa kodi na mmiliki wa raslimali zote za nchi hii?