Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

Hii itakuwa ni nje ya Tanzania hivyo wauliza wadau wa pande hizo
 
Litaje jina la eneo unaloishi na linapatikana mkoa gani wadau wakusaidie vizuri, hiyo 1500km kutoka dar ni Somalia huko
 
haya narrow dowm maelezo yako sasa!!
 
mkuu maandiko yanasema mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe...

Wamaanisha nini Zamaulid? Kwa kweli simshauri ainunue. Ni nzuri kweli kwa nje na hata ndani, ni unique, ila usiombe ipate shida...kununua spare parts utazunguka mji mzima!
 
Last edited by a moderator:
Litaje jina la eneo unaloishi na linapatikana mkoa gani wadau wakusaidie vizuri, hiyo 1500km kutoka dar ni Somalia huko
acha kupotosha,unataka kusema Dar- kigoma ni km ngapi? Km kutoka dar hadi Kahama ni saidi 1000km,unadhani kigoma ni km ngapi?
 
acha kupotosha,unataka kusema Dar- kigoma ni km ngapi? Km kutoka dar hadi Kahama ni saidi 1000km,unadhani kigoma ni km ngapi?

Dar - Kigoma ni KM 1298 au kitu kama hicho Kahama ni around 800 na kitu hivi Bukoba ambako ni mbali ni around 1390 na kitu hivi hizo data sio accurate ila zinakariana hivyo kwahiyo hiyo 1500 Km kutoka Dar itakua either Burundi au nje ya Tanzania mana kigali ni kama around Km 1600 hivi..over
 
Wamaanisha nini Zamaulid? Kwa kweli simshauri ainunue. Ni nzuri kweli kwa nje na hata ndani, ni unique, ila usiombe ipate shida...kununua spare parts utazunguka mji mzima!
Namaanisha ya kuwa wewe uliona parts shida mbona ulimuuzia mwenzio huoni umempa matatizo!te te te te te, ungebaki nayo tu!
 
acha kupotosha,unataka kusema Dar- kigoma ni km ngapi? Km kutoka dar hadi Kahama ni saidi 1000km,unadhani kigoma ni km ngapi?
ngungwangungwa: Kutoka dar mpaka shinyanga pana umbali wa 1017.5KM, kutoka dar mpaka kigoma ni 1295KM na kutoka dar mpaka Gelib (mji upo kusini mwa somalia) kuna umbali wa 1473.3KM, ndo maana nilisema ukitembea hizo 1500KM kutoka dar kuelekea kaskazini mwa Tanzania utajikuta upo somalia. Actualy, ukitembea kutoka Dar 1500KM kuelekea upande wowote ule lazima utoke nje ya mipaka ya tanzania.
 
Hio km 1298 fro Dar ni kwenda kila mahali Kigoma? What if unafika Kigoma mjini halafu unaingia ndani ndani?
 
Kutoka Dar to shinyanga hizo km 1017 ni kwenda kila mahali ndani ya shinyanga au mpaka shy town? Ukiingia ndani ndani huko vijijini umbali utabaki huo huo km 1017?

Kwa mfano dar moshi ni almost 600km je ukipanda milimani huko machame sijui marangu umbali utakuwa huo huo km 600 inayojulikana?
 
Hapana umbali utabandilika kwa either kupungua ama kuongezeka.
 
Hapana umbali utabandilika kwa either kupungua ama kuongezeka.

kwa sio ajabu kuna sehemu ndani ya tanzania inaweza kuwa km 1500 from dar....yaani unaweza kufika hadi bukoba then unaingia ndani ndani huko au kigoma then unaingia ndani zaidi.
 
Dar- Moshi ni km563 tu!
 
mbona mnatoka nje ya Mada?mnakuwa kama wajumbe fulani wale!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…