maswali na majibu ya wanawake wanapotongozwa....


Aaahh!! vibaya bana!
 
Ndo umeanza hivyo????!Mpaka hapo umefeli maana sipendi mwanaume anaetia huruma!!

Sijaanza ila nilitaka kujua kitu gani hupendi kumbe hupendi anayetia huruma tayari nina point moja, nasonga mbele.
 
majibu hayo yanasababishwa na aibu tu.
mara nyingi mtu unakua hujui hukubali kwa lugha gani hasa kama ndio mara ya kwanza mtu kukutamkia na hata kama unampenda.
 
Code:
majibu hayo yanasababishwa na aibu tu.
mara nyingi mtu unakua hujui hukubali kwa lugha gani hasa kama ndio mara ya kwanza mtu kukutamkia na hata kama unampenda.

hapo haswaa ndo napataka, kwanini usiseme hata mimi n akupenda, over mnaendelea na maisha? ukumbuke hata wanaume tuna aibu but, tunaweza angalau kuwafata, je mungekuwa mnatufuata nyinyi?
 

Mimi huyu bishoo wako swala ijaipenda tabia yake,
kwakweli haijakaa kiume haswa,
mwanaume kupigwa kibuti ni sawa na nzi kufia kwenye kidonda,
hakuna la ajabu hapo, sana sana unaweza ukashukuru mungu,
kwakuwa labda umepunguziwa udhia na usumbufu fulani hivi,
isitoshe unaweza kukuta lengo lako lilikuwa kuchungulia tu na kutambaa!!!!!!
 
Hivi kweli mwanaume akifuatwa na mwanamke akaambiwa anapenda na yeye hampendi huyu mwanamke anawezakumwambia straight SIKUPENDI? .............
 
Unapewa majibu kama hayo ..
majibu yote ka weka straight forward
(Nina mtu) kwa nini uendelee kumuuliza
mAswali..??
 
Code:
Unapewa majibu kama hayo ..
majibu yote ka weka straight forward
(Nina mtu) kwa nini uendelee kumuuliza
mAswali..??
kwa sababu tatizo sio kuwa na mtu, je, anampenda? ana furaha? na vitu kama hivyo..
 
Code:
kwa sababu tatizo sio kuwa na mtu, je, anampenda? ana furaha? na vitu kama hivyo..

Msichana akisha kwambia nina mtu
Anamaanisha hivi vitu viwili
1. Ana mtu kweli
2.Hakutaki..
Sasa kama hayo ndo majibu
Maswali mengine ya kazii gani??
 
Wameumbwa na haya na huruma ndio maana hawawezi kukuambia moja kwa moja kuwa sitaki kwa sababu anafahanu itakuumiza. Wegine anaweza kukubalia halafu ukapigwa tarehe mpaka mwenyewe ukanyoosha mikono juu.
 
Enhee....endelea!

Nakushangaa sana Lizzy maana hapo unapanga kukataa lolote hata vitu vya maana ilimradi unekane kuwanimeshindwa! Mpaka nijue kama upo flexible na hauto bisha ilimradi kutafuta ushinda bali utabisha au kukataa kwa nguvu ya hoja.

Utajianda vipi kukataa kitu ambacho hukijui?
 

Namaanisha endelea na mistari bana.....ukipiga wimbo unaoleweka utashangaa mwenyewe ntakavyokuganda!!Hadi ukimbie JF!
 
Code:
Msichana akisha kwambia nina mtu
Anamaanisha hivi vitu viwili
1. Ana mtu kweli
2.Hakutaki..
Sasa kama hayo ndo majibu
Maswali mengine ya kazii gani??
wappo wanaomaanisha hivyo vitu viwili, na wapo wanaomaanisha zaidi ya hivyo, kwa mfano unaweza ukaambiwa ni i mtu kumbe anamaanisha usubiri au tu hajakuelewa vizuri,wanawake wana mengi
 
hivi, bado kuna utongozaji kwa maana ya mtongozaji na mtongozwaji?:A S 103:
 
Wameumbwa na haya na huruma ndio maana hawawezi kukuambia moja kwa moja kuwa sitaki kwa sababu anafahanu itakuumiza. Wegine anaweza kukubalia halafu ukapigwa tarehe mpaka mwenyewe ukanyoosha mikono juu.

yalishanikuta hayo, najuta kuwa king'ang'anizi, tena mara 2,
 

aunt Lizy naomba ufafanuzi kwenye ka kipengere hako niliko ka bold red tafadhari
 

aunt Lizy naomba ufafanuzi kwenye ka kipengere hako niliko ka bold red tafadhari:mod:
 

Esperince
yangu katika majambo haya ni kwamba sijawahi sikia au kukutana na dame asiyeleta upinzani siku ya kwanza kumfukuzia, ina maana kwamba hii ndio kanuni kwamba mwanaume atakuwa wa kwanza kutongoza na mwanamke atakataa kwanza hata kama li moyo lake lilikudondokea kwanza, lakini ukimkaribia ukaanzisha saundi lazima akutolee nje kwa kile wanachosema kuwa mwanamke shurti uringe kwanza usijirahisishe ukaonekana malaya!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…