Revocatus Kashaga tatizo kubwa tunalokabiliana nalo katika kuendesha mfumo wa uuzaji tiketi za elektroniki ni uelewa mdogo wa wadau wa mpira.Siri kuu ya mafanikio ya utaratibu huu ni mtazamaji kununua tiketi yake mapema,uwanjani hapatikiwi aslani pauzwe tiketi ya elektroniki,kama kila mtazamaji atakuja na tiketi yake kazi ya stewerds uwanjani ni kuhakiki tu tiketi na kama kuna turnstyles (mageti ya kujifungua) basi hata wahakiki hawahitajiki ukifika unabandika tiketi kwenye mashine geti linafunguka unaingia uwanjani. Nimeongea na wenzetu wa Afrika kusini (wanatumia computicket) wanasema hadi yalipotokea majanga watu wakafa Ellys park ndipo umuhimu wa kupiga marufuku watu kununua tiketi uwanjani ulipoonekana. Tanzania tusijiruhusu kufika huko,tuamue kuwa kuanzia sasa mechi ikitangazwa tutanunua tiketi mapema na kwenda nayo mkononi.Jamal Malinzi vipi swala la tiketi mechi za mtibwa vs Yanga mpaka sasa hatujapata maelezo ya kutosha
JAMAL MALINZI ulipo mteua nyange kaburu kuwa mwenyekiti wa waamuzi hakuwa kiongozi simba na sasa katiba ameivunja na kua kiongozi simba.katiba inasema kiongozi alieng'atuka hawezi kugombea hadi miaka 4 sasa kama nyinyi tff sheria za vilabu mnazisimamia vipi
JAMAL MALINZI ulipo mteua nyange kaburu kuwa mwenyekiti wa waamuzi hakuwa kiongozi simba na sasa katiba ameivunja na kua kiongozi simba.katiba inasema kiongozi alieng'atuka hawezi kugombea hadi miaka 4 sasa kama nyinyi tff sheria za vilabu mnazisimamia vipi
hapa tutegemee malalamiko mengi ya timu pinzani hasa zile mechi tano za mwisho wa liginani aliyemchagua kaburu kuwa mwenyekiti Wa waamuzi? Nadhan aliyemchagua halitakii mema soka letu kaburu ana sifa mbaya ya kuhonga wachezaji Wa timu pinzani ili wafungishe ,Sasa Leo mnamuweka awe msimamizi Wa waamuz mnategemea nini
JAMAL MALINZI ulipo mteua nyange kaburu kuwa mwenyekiti wa waamuzi hakuwa kiongozi simba na sasa katiba ameivunja na kua kiongozi simba.katiba inasema kiongozi alieng'atuka hawezi kugombea hadi miaka 4 sasa kama nyinyi tff sheria za vilabu mnazisimamia vipi
Nasikia kaburu kishafanya yake,za chini ya kapeti mechi ya Yanga na simba haitokuwepo 12 okt kupisha mechi ya kirafiki ya stars!::thumbdown:
Mechi ni ya kalenda ya fifa?...km iko ktk kalenda ya fifa imekuaje tff hawakujua wakapanga ratiba ya vpl tena big mechi...dar derby siku ambayo stars inacheza?...
Ndugu JM, pole kwa kazi ngumu ya kuongoza soka la nchi yetu.
Ndugu sisi wenye elimu ndogo hatukuelewi,maono yako labda ni ya mbali. Hivi toka uingie ofsini umeachieve nini?
Halafu lile dili la tukuyu mbona limeisha kimyakimya? Nani mchezaji aliyeibuliwa na program ile?
Vipi nasikia yanga hawachukui pesa za azam tv kwa mjibu wa mdau huko tff,et pesa yao imewekwa kwenye account maalum ni ip na ni ya nani au iko fixed account? .na ni mpaka lini au suala hili limewashinda?
Hivi hii suala la kalenda ya fifa ni suala la dharura mpaka liathiri ratiba ya ligi kuu?
Suala stand united na mwadui fc na jkt kanembwa,hii yale maamuzi ni ukwel yamezingatia uhalisia?.
Kiukwel ninamengi, karibuni wadau.
Mpira unazidi kufa Tanzania,
nilishangaa sana waliposhindwa kuisimamia Yanga ilipotolewa Kagame Cup kule Kigali, na badala yake TFF bila kufikiria wakaamua kuipeleka Azam?,
Yanga ilikuwa na tatizo gani hasa la kufanya itolewe kwenye mashindano?
unazi unakusumbua
Kaka unazi gani?, hebu nipe sababu hasa za Yanga kutolewa Kagame cup?, hebu nijibu haya maswali!
1. timu ngapi zilipeleka Junior players?,
2. CECAFA ndio inawachagulia Yanga watu wa Kupeleka Kagame Cup?,
3.Yanga ilikuwa inapeleka wachezaji wasiosajiliwa?
4. Niambie hata mchezaji mmoja wa Yanganaliyepangwa kwenda Kagame na hajasajiliwa na Yanga
5. Ni vibaya yanga kujiamulia mipango yake na kuipa kila michezo/ mashindano priority inayostahili, kama Yanga walipanganKagame cup wapeleke kikosi cha pili shida iko wapi?
6. Yanga au timu yoyote ya Tanzania ikiamua kusajili wachezaji wote under 20, haitaweza kucheza kamwe Kagame Cup kwa sababu Kagame ni senior?
kaka komeka acha unazi , mimi nasimamia ukweli, TFF ya sasa Ni mzigo na hawajuhi wanasimamia wapi, walikurupuka sana kuipeleka Azam bile kuitetea timu ya Yanga kwani ilikuwa haina kosa lolote