Maswali sahihi kwa mujibu sahihi

Maswali sahihi kwa mujibu sahihi

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,189
Reaction score
1,217
1. Kwanini MUNGU aliumba vitu vingine asibaki yeye Tu?

2. Kwa nini Mungu Atumie Miaka Mingi Kukomboa dunia hii wakati angeweza Kuumba Nyingine?

3. Kwa nini Mungu anataka Tutoe sadaka wakati dunia na Vyote vilivyomo ni Mali Yake?
 
1.Aliona inapendeza sana kuwa hivyo.

2.Ingekuwa kwamba alikosea kwa dunia ya kwanza, Mungu hakosei,anafanya kwa makusudi.

3.lakini kimsingi hakuna sadaka ambayo anapewa Mungu physically, ni kiimani zaidi.

Hii ni kusema kuwa tunatakiwa tutambue uwepo wake na kushukuru kwa kila jambo.
 
Kubwa mungu analotaka kutoka kwetu ni sisi kumwamin yy pekee,,hana shida na vitu vyetu.. Anatitaka sisi BA's. We unaamin ktk sadaka ya hela lakin nakuakikishia hela haiwez kukufanya ukawa mwema kwa mungu,,,sadaka ya kipekee kwa mungu ni hali yako kwake..that's all
 
Back
Top Bottom