Maswali ya afisa utawala yanakuaje?

Maswali ya afisa utawala yanakuaje?

joangg

Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
31
Reaction score
18
Jamani mwenye uelewa wa maswali ya afisa utawala yanakuaje tafadhali?
 
Mbona uko less sana...
Tulia kwanza chapisha andiko lako ukiwa umetulia, ili ujue kipi unataka kukifahamu.
 
Jaman mwenye uelewa wa maswali ya afisa utawala yanakuaje tafadhali
Inategemeana umeitwa sekta binafsi au serikalini. Mhimu jua kujitambulisha,fahamu majukumu yaliyoko Ktk tangazo la kazi, fahamu historia, dira,dhamira na huduma au kazi zinazofanywa na ofisi hiyo.
Pia, uwezo/uzoefu,ujuzi na maarifa Yako uliyonayo.pia kama umewahi kufanyakazi mahala,je KWa nn uliacha au unaacha, mtizamo wako KWa kampuni au ofisi katika Miaka kadhaa ijayo n.k.
Ngoja wengine pia....!
 
Administrative Officer! Kazi zake ni mtambuka kidogo. Inategemea ni Ofisi gani umeitwa na ni private au gov't
 
Back
Top Bottom