Inategemeana umeitwa sekta binafsi au serikalini. Mhimu jua kujitambulisha,fahamu majukumu yaliyoko Ktk tangazo la kazi, fahamu historia, dira,dhamira na huduma au kazi zinazofanywa na ofisi hiyo.
Pia, uwezo/uzoefu,ujuzi na maarifa Yako uliyonayo.pia kama umewahi kufanyakazi mahala,je KWa nn uliacha au unaacha, mtizamo wako KWa kampuni au ofisi katika Miaka kadhaa ijayo n.k.
Ngoja wengine pia....!