Maswali ya darasa la saba ambayo sitayasahau?

Maswali ya darasa la saba ambayo sitayasahau?

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
jamaa alikuwa na
safari, kwa habati zuri akakutuna na mti wenye ndege. kwa akili ya kawaida akahisi ndege wako mia moja, akawasalimu.

Habari zenu ndege miamoja, ndege wakakataa wakasema ukileta nusu yetu ukijumuika na wewe ndiyo tutakuwa miamoja, je? ndege walikuwa wapagapi.
 
Mkuu matokeo ya meshatoka ume pass
 
1/2x+1 =100

Siyo Kweli Mkuu.Hesabu Itakuwa Kama Ifuatavyo,
Idadi Ya ndege=x
nusu ya ndege watakaoongezwa=(1/2)x
hivyo, idadi ya ndege waliopo mtini JUMLISHA nusu ya ndege watakaongezwa JUMLISHA na yeye mwenyewe jibu ndio linakuwa 100
=> x +(1/2)x +1=100
tafuta thamani ya x,
(1+(1/2))x + 1=100
=>(3/2)x + 1=100
toa 1 kila upande,
(3/2)x +1-1=100-1
=>(3/2)x =99
zidisha kwa 2 kila upande,
2(3/2)x=99 X 2
3x=198
gawanya kwa tatu kila upande,
3x/3 = 198/3
hivyo x =66
kwa hiyo idadi ya ndege waliopo mtini ni 66.
 
1/2x+1=100 imekuwakuwaje hadi ikawa vile kama kwenye red.
 
Mkuu haina tatizo! hilo swali kama hujasoma vzr hesebu linaweza kukutoa jasho.

Ila we jamaa itakuwa ukikosa karo ndio maana ukaishia la saba. Au ulifelishwa au akili zimekuja ukubwani, maana unajitahidi sana ukilinganisha na la saba wenzako.
 
Ila we jamaa itakuwa ukikosa karo ndio maana ukaishia la saba. Au ulifelishwa au akili zimekuja ukubwani, maana unajitahidi sana ukilinganisha na la saba wenzako.

Mkuu mimi sikufeli wa sikukosa karo za kuniwezesha kuanza form one, sema tu akili za utoto na kundanganyana kwa vijana ndiyo kilichosabibsha yote hayo. darasa la saba nifaulu kwenda shule maalumu.
 
1/2x+1=100 imekuwakuwaje hadi ikawa vile kama kwenye red.

mlinganyo huu
1/2x +1=100
siyo sahihi kutokana na maelezo, ila soma kwa makini kwenye maelezo yangu mbona inaeleweka tu au ulikimbia hisabati
 
mlinganyo huu
1/2x +1=100
siyo sahihi kutokana na maelezo, ila soma kwa makini kwenye maelezo yangu mbona inaeleweka tu au ulikimbia hisabati

Achana na huyo, jibu sasa kwa upande wako mkuu.
 
Back
Top Bottom