jamaa alikuwa na
safari, kwa habati zuri akakutuna na mti wenye ndege. kwa akili ya kawaida akahisi ndege wako mia moja, akawasalimu.
Habari zenu ndege miamoja, ndege wakakataa wakasema ukileta nusu yetu ukijumuika na wewe ndiyo tutakuwa miamoja, je? ndege walikuwa wapagapi.
....kwa sifa hizi, unastahili kuwa mbunge na mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamiinilisoma ili nijue kuandika na kusoma
1/2x+1 =100
Siyo Kweli Mkuu.Hesabu Itakuwa Kama Ifuatavyo,
Idadi Ya ndege=x
nusu ya ndege watakaoongezwa=(1/2)x
hivyo, idadi ya ndege waliopo mtini JUMLISHA nusu ya ndege watakaongezwa JUMLISHA na yeye mwenyewe jibu ndio linakuwa 100
=> x +(1/2)x +1=100
tafuta thamani ya x,
(1+(1/2))x + 1=100
=>(3/2)x + 1=100
toa 1 kila upande,
(3/2)x +1-1=100-1
=>(3/2)x =99
zidisha kwa 2 kila upande,
2(3/2)x=99 X 2
3x=198
gawanya kwa tatu kila upande,
3x/3 = 198/3
hivyo x =66
kwa hiyo idadi ya ndege waliopo mtini ni 66.
1/2x+1=100
1/2x=99
unazidisha kwa mbili kila upande ili kuondoa sehemu
x=99x2
x=198.
na wewe umemaliza chuo, hehehe elimu ya tanzania ni majanga.
Mkuu haina tatizo! hilo swali kama hujasoma vzr hesebu linaweza kukutoa jasho.
Ila we jamaa itakuwa ukikosa karo ndio maana ukaishia la saba. Au ulifelishwa au akili zimekuja ukubwani, maana unajitahidi sana ukilinganisha na la saba wenzako.
1/2x+1=100 imekuwakuwaje hadi ikawa vile kama kwenye red.
Shy land kwanini wewe umesoma??
Kama ndege wako 66 ina maana ukileta nusu yao, yani 33, ndege watakuwa 99, hawatafika ndege 100.hivyo x =66
kwa hiyo idadi ya ndege waliopo mtini ni 66.