Maswali ya '' kijinga'', ambayo majibu yake yanaweza kukusaidia

Mc cane

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
5,570
Reaction score
10,517
Habari ya jumapili wakuu.

Niende kwenye mada moja kwa moja

Kuna mambo ambayo huwa najiuliza, pengine na wewe huwa unajiuliza lakini unakosa majibu au unapata majibu yasiyojitosheleza. Mambo haya yanaweza kuonekana ni ya kijinga lakini yanaweza kumsaidia mtu katika maisha yake ya kila siku.

Mimi nitauliza baadhi, hope wengine watajibu na wengine watauliza ya kwao, na wengine watajibu n.k Twende kazi

1. Hivi inabidi angalau umpigie simu mzazi, mama mkwe, baba mkwe mara ngapi kwa wiki, mwezi au mwaka?

2. Inabidi uanze kumla tena mke/mpenzi siku/miezi mingapi baada ya kujifungua?

3. Inabidi uvae ch*p* kwa muda gani kabla hujaifua tena?

4. Inabidi kumla mke/mpenzi angalau mara ngapi kwa wiki?

5. Inabidi kumpigia/kumtext mke/mpenzi mara ngapi kwa siku/wiki?

6. Inabidi kumtusua mke/mpenzi round ngapi ili aridhike?

7. Muda mzuri wa kwenda haja kubwa, ni Asubuhi, mchana, jioni au usiku?

8. Ukimtongoza Demu akakutukana au kukujibu utumbo, ukiamua kumpigia kimya,halafu baada ya mwezi analeta visalamu uchwara lengo lake linakuwa nini?

Karibuni kwa majibu na maswali zaidi.
 
Unatakiwa umkule mkeo siku 40 baada ya kujifungua hususani kama kajifungua kwa njia ya kawaida[emoji5]
 
7. Muda mzuri wa kwenda haja kubwa, ni Asubuhi, mchana, jioni au usiku?

Punde unapobanwa na haja, na pakiwepo mazingira ya kukuwezesha kutimiza hiyo haja
 
Yote hayo yanategemea,real relationship,kwa sababu watu tunatofautiana kimazingira,
Mwingine unakuta anampigia sana mama mkwe kuliko mama mzazi.
Mwingine mke/mume wake kasafiri na mchepuko naye kasafiri unakuta simu zinazidi kwa mchepuko.
Yote Tisa kwenye umuhimu ndiyo anapigiwa Mara nyingi.
 
7. Muda mzuri wa kwenda haja kubwa, ni Asubuhi, mchana, jioni au usiku?

Punde unapobanwa na haja, na pakiwepo mazingira ya kukuwezesha kutimiza hiyo haja
Duh... Aisee mchana labda liwe tumbo la kuhara. Halafu ukijizoesha utakuwa unapiga haja muda ule ule saa ile ile kila siku
 
Hapo kwenye Simu Pana kasheshe mi huwa napiga kwa sababu maalum yaani hata miezi mitatu yaweza katika bila kuwapigia hao tajwa
Duh.... Kwa wakwe Nadhani ni mtego mkali sana huo
 
Duh... Aisee mchana labda liwe tumbo la kuhara. Halafu ukijizoesha utakuwa unapiga haja muda ule ule saa ile ile kila siku
Ndio hivyo mkuu.
Wanasayansi washaithibitisha kwenye masuala ya Coordination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…