ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Kwanza piga mwayo mrefu, kisha mwambie upo nje unaota jua....teh!Ha ha ha.. Ucku wa manane mtu anakupigia simu, unastuka unapokea simu, anakuuliza unafanya nini..?
Ha ha ha.. Ucku wa manane mtu anakupigia simu, unastuka unapokea simu, anakuuliza unafanya nini..?
ni rafiki yangu toka utotoni tumecheza wote"Hapa lodge wewe umepajuaje?"
Je wewe ni shoga?Mfano baba anakuuliza eti hivi kwa nini nilikuzaa?hapo unajibuje sasa.
Au dem anakuuliza hivi nilikupendea nini??au mtu anakuuliza eti wewe ni me au ke?ili iweje sasa.
Ongezea swali lolote unaloona halina maana.
Unajibu ndiyo,unataka Huduma?Je wewe ni shoga?
Au unapokea simu unaulizwa eti umelala?sasa ningelala ningepokeaje.Ha ha ha.. Ucku wa manane mtu anakupigia simu, unastuka unapokea simu, anakuuliza unafanya nini..?
naona upoo.
sasa nani kasema huoni?
Kuna Rais bora zaidi ya Magufuli na Nyerere ?
viswali vya kinafiki na kijingaijinga hivyoUmetuliiia mwenyewe!sasa ulitaka nihangaike_
viswali vya kinafiki na kijingaijinga hivyo
Kazi yangu haipendi mkeKwanini hauoi wakati una kazi nzuri ?