Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

Upo mezani na muda wa chakula umefika, mtu anakuuliza, na wewe unakula? Wakati anajua toka asubuhi hujala, mjibu hapana, sina tumbo.

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaa! uwiii mbavu zangu
 
8. Upo na demu room, mmeanza kuchezeana, kissing, romance nzito,. Umevua umebaki kifua wazi, ukambeba hadi kitandani. Unamvua nguo anakuuliza unataka kufanya…?
Nataka kwenda kufua

Ha ha ha ha ukinijibu hivyo navaa Pichu yangu naondoka
 
upo kamati kuu ya ccm mnajadili majina ya wagombea then mnakata la flani halafu anawauliza mnanikata? unamjibu hapana tunakubadilisha jina.

Hahahahaaa hahahaaa uchokozi huo na muda ndio huu
 
8. Upo na demu room, mmeanza kuchezeana, kissing, romance nzito,. Umevua umebaki kifua wazi, ukambeba hadi kitandani. Unamvua nguo anakuuliza unataka kufanya…?
Nataka kwenda kufua

Ha ha ha; nataka kumwaga zege
 
Umelala ni saa nane usiku unapigiwa simu "umelala?"

Majibu: niko kwenye CC Dodoma
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…