Maswali ya kijinga na Majibu ya kipumbavu...

Huyu Mimi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2019
Posts
2,575
Reaction score
2,117
Habari Wakuu!!
Lengo La Uzi Huu Ni kutupia Maswali Ya Kijinga Na Mmoja ana Jibu Kipumbavu Mfano.
Mtu Anakukuta Unakula Anakuuliza Ebana Naona Upo Unakula ... unamjibu Hapana Naosha Vyombooo

Jamaa Anampigia Simu Mtu Saa7 Usiku Anamuuliza Umelala Nini Jibu Anamwambia hapana Niko Niko naimba..

Tupia na Ww Majibu Uliyowahi Kutoa,kusikia au Kuuliza Ukajibiwa Fyongo ...

Uzi Tayariii!!!
 
Akikutumia tafadhali nipigie, unamjibu tafadhali niongezee hela
 
Uzi wako unatufundisha nn? [emoji16]
Unatufundisha kuwa tusitumie vidmate kudownload porn kwenye kipindi hiki cha mfungo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…