MASWALI YA KUJIULIZA KUHUSU MADALALI WA SUKARI TANZANIA
Sugar Catels wamechachamaa, wanatumia kila mbinu ili wafanikiwe kubaki na 'monopoly right' ya kuamua bei ya sukari iweje nchini
Maswali ya kujiuliza;
1. Kwanini wanalipa watu mamilioni ili kujaribu kukwamisha mabadiliko ya sheria ya uingizaji wa Sukari nchini wakati kazi imewashinda?
2. Kwanini hawakuagiza sukari kwa kuzingatia 'gap sugar' kwa makusudi ili bei zipande, wao wapate faida, sisi wananchi tukiumia?
3. Kwanini wamewalipa vijana wao kuandika barua feki kwamba Waziri Bashe kajiuzulu, halafu baadae wamtumie watu kumuomba asikanushe kwamba barua ni fake?
Sisi kama wananchi Kwenye hili tunasimama na Serikali, hatupo tayari kuendelea kuumia ili kunafaisha magenge ya kinyonyaji yaliyojificha nyuma ya Mpina na wengine walionunuliwa.
Tunataka sheria zibadilishwe ili hawa wanyonyaji waache kujipangia bei, Sukari ni bidhaa muhimu kwa kila kaya, njia pekee ya kujihakikishia upatikanaji wake kwa bei nafuu ni kubadili sheria.