Maswali ya msamiati: "lebasi", "akhiri", "ihsan"

Maswali ya msamiati: "lebasi", "akhiri", "ihsan"

beretta

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
12
Reaction score
4
Wakati nikisoma kitabu cha shule, nilikuta maneno matatu ambayo sikuweza kuyatafsiri kutumia kamusi kadhaa. Naweza kukisia maana yao, lakini naomba ufafanuzi sahihi.

Lebasi (Labda ni aina ya nguo, au kitu kingine?)
Sentensi: "Basi alivua lebasi ya huzuni, akavalia lebasi ya kifalme."

Akhiri (Labda ni kama "sasa"? Labda ni Kiarabu, si Kiswahili?)
Sentensi: "Alisimulia yote yaliyotokea toka awali hadi akhiri."

Ihsan (Labda ni kama "hisani" au "wema"? Labda ni Kiarabu, si Kiswahili?)

Sentensi: "Ihsan mliyonifanyia wewe na mwana wako ni kubwa sana."

 
Back
Top Bottom