Maswali ya watangazaji wetu: Diamond au Ali Kiba?



Tanzania ndiyo nchi inayoendekeza ujinga sana katika ukanda wetu huu wa Afrika mashariki, we are the only ones kwa ujinga. Hatuna watangazaji, tuna fake dj's ambao wako converted kuwa watangazaji na ndipo ujinga unapokuja hapa. Domo ana kisimati cha kupendwa ila kuimba hajuwi, Kiba can sing ila hana mashairi mazuri. In short, they are both NOT good musicians ila these dj's wanawapa promos tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…