MigoMigo09
Member
- Jan 24, 2020
- 15
- 7
Jitahidi ujue key duties zako kama afisa ugavi, na duties za tendet board na accounting officer.Naomba kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usahili wa kada hyoo naomba msaada wa kupata angalau kujua wanauliza maswali gani ili niweze kujiandaa na mimi ....
Nitangulize shukran kwa wote asanten sana
Asante sana nduguJitahidi ujue key duties zako kama afisa ugavi, na duties za tendet board na accounting officer.
Ukiweza zaidi, pitia kwa ufupi kuhusu TANePS, itakusaidia sana, coz manunuzi ya umma sasa hivi yanaoperate kwa mfumo huo. Atleast uwe na uelewa basic wa mfumo unavyofanya kazi.
Kwa ujumla hakikisha sheria na kanuni za manunuzi kama zilivyofanyiwa mabadiliko 2016 unapitia vizuri.
Wishing you all the best.
Samahani naomba nitoke nje ya mada kidogo, nikupe ushuhuda kutoka kwa Mwalimu wangu wa Storkeeping and Procedures! Alikuwa anachekesha sana darasani, akiingia darasani kwenye kipindi, hakiwezi kuisha watu hawajlaipuka kwa kichekoNaomba kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usahili wa kada hyoo naomba msaada wa kupata angalau kujua wanauliza maswali gani ili niweze kujiandaa na mimi ....
Nitangulize shukran kwa wote asanten sana
Ubarikiwe nduguGuy ngoja nikupe possible.
1. Soma function za
PPRA, PPAA,PSPTB, GPSA, Tender Board, PMU, Evaluation Team, na User Department
2. Pitia Methods of Procurement! eg International Competitive bidding, National Competitive biding, Competitive quotation, single source, Force Account, etc.
3. Pitia Mambo ya sourcing eg Maana ya Subcontracting na Sourcing etc
4. Duties of Supplies Officer katika taasis
5. Mapungufu yaliyoko katika sheria ya manunuzi mpaka kukapelekea marekebisho toka toka ya 2004 na ile 2011 na regulations zake
6. Jifunze umuhimu wa Annual procurement Plan katika taasis
7. Document zinazotumika katika manunuzi, eg L.P.O, invoice, delivery note, quotation etc
8. Aina za mikataba!
9. Nini maana ya procurement, umuhim wanprocurement katika taasisi
10. Maswali General ni, elezea weakness yako, Utafanyaje kama Muajiri wako atatumia cheo chake kutaka uvinje sheria ya manunuzi, Elezea wewe ni nani, etc
Nakutakia kila la kheri!
Pitia hayo japo kwa juu juu, uwe na knowledge kidogo