deNavigator
Member
- Sep 22, 2018
- 49
- 63
Leo asubuhi nilichapisha uzi hapa kwenye jukwaa la siasa kuhusu Interview za walimu, wengi waliunga mkono hoja ya kuwa interview ziendelee lakini wachache waliendelea kuweka msimamo kua interview ziondolewe kabisa.
Bado msimamo wangu mimi mwalimu SADATY H. DAUDI ni kwamba tusiingize siasa kwenye usaili na pia interview zibaki palepale, isipokuwa mchakato ufanyiwe marekebisho sehem zinazovuja.
Mfano:
1. Matumizi ya teknolojia ili kuokoa muda siku za usaili.
2. Mitihani iwe more relevant na kazi husika na pia iwe reliable kutoa matokeo tunayotarajia ya kutupatia walim bora wenye utayari.
3. Watu wanaokua short listed kwenda kwenye written waakisi idadi ya ajira zilizo tangazwa, issue ya kuwaita walimu 23,000 huku unauwezo wa kuajiri watu 138. Ni uharibifu wa rasilimali muda na rasilimali pesa.
4. Mamlaka ya kufanyia watu interview yakasimishwe kwenye ofisi za wilaya ili watu wasisafiri sana kwenda ofisi za mkoa kwani pesa, muda na afya za wahusika ni muhimu zilindwe.
5. Wenye umri mkubwa wapewe kipaumbele kushiriki interview ila wasionewe huruma. Pia kipimo kiwe kilekile kwa waliomaliza zamani na waliomaliza juzi. Kwani kuna watu wenye umri mkubwa pia wamemaliza shule hivi karibuni huku kuna vijana wenye umri mdogo walimaliza zamani. (Wote wapewe haki ya kushiriki ila upendeleo wa kushiriki uwe kwa watu wazima)
Ukiacha hayo ndugu watanzania wenzangu. Mimi napendekeza mageuzi kadhaa katika mfumo wa elimu ya TANZANIA ila bila kuacha kutumia mfumo huu wa inyerview.
Kabla hatujaongelea mageuzi husika niseme umuhim wa mchakato wa usaili ili ndugu zangu tupate kwenda sawa.
Mchakato huu unaweza kutusaidia yafwatayo :
1. Licha kuwa kila mwalim alohitimu chuo anavigezo vya kuwa mwalimu ila mfumo wa interview utatusaidia kupata walim wenye weredi na utayari zaidi. (Mkazo hapo : WEREDI NA UTAYATI) ijapokua wote wanavyovigezo.
2. Kupunguza myanya ya rushwa.
Endapo mtu ataajiriwa ni rahisi pia kusema au kuhoji ikiwa hakufauru usaili.... Na hivyo kuondoa shaka la katoa rushwa ili kupata kazi.
3. Kuamsha hari na mori ya watanzania na waalimu in specific kujenga mazoea ya kuendeleza taaluma zao pindi wawapo nyumbani. (Kuondoa uvivu)
MAGEUZI PENDEKEZWA.
Hapa naomba twende kwa makini.
Mimi naona mfumo wa elimu una mapungufu mengi ila yafwatayo ni maswali bayo yakijibiwa Kwa vitendo na viongozi wetu au wanasiasa wetu ambao ndo watunga sera inaweza kutusaidia kutatua tatizo la ajira kwa wasomi hasa wasomi wa kada ya ualimu ambao hawajaajiriwa na wale walioajiriwa sabab na walio ajiriwa pia wapo kazini wakisotea overloading ya kazi..
MASWALI YANGU 10 YA KIMAPINDUZI KWA WANASIASA WA HILI TAIFA
1. Watunga sera na viongozi wanapotathmini mahitaji ya wasomi, kwanini huwa hawawezi kukisia ukomo au kiasi hitajika?
Mfano, wanapotunga sera za elim myaka ya 2000 iliyo promote vijana wasomee elimu ili tupate walimu wengi hawakuweza kukaa kubadirisha mwelekeo myaka ya 2011 baada ya gap la uhitaji wa wasomi husika kupungua sana?
2. Je serikali yetu inaongeza shule kila uchwao. Ni nani anaenda kufundisha hizo shule wakati hawaajiri walim ipasavyo?
3. Je walimu waliopo wanakidhi idadi ya uhitaji wa wanafunzi mashuleni? Kuna shule ina mwalim mmoja wa kingereza toka imeanzishwa 2015 hadi leo. Kwani wao hawalioni hili?
3. Mapato yanaongezeka mara dufu kila leo, je ni jbo gani muhim kuliko hawa watoto wa walipa kodi ambao ndo wanatoa mapato hayo linafanyika na kuwanyima hawa watoto nafasi ya kupata watu wa kuwahudumia?
4. Marekebisho yote haya ya mitaala inayofanyika mtekelezaji ikiwa bado kalemewa kiasi hicho cha walim walivyolemewa ivi kuna matunda chanya kiasi vha kufaa tutayapata?
5. Watoto wao wanasoma shule za gharama zenye walim wa masomo yote wanampango gani na watoyo wetu waliopo shule za serikali ambazo walim hamna na ukikuta walimu wamekidhi akidi ya masomo basi hawakidhi akidi ya idadi ya wanafunzi
6. Tunavijiji vingi bado havina shule, kwanini basi wasijenge shule waka waajiri walim kwa internship (nusu mshahara) na kisha kuendelea kuwaajiri kwa full time taratibu?
7. Ivi viongozi wamekosa kabisa kufanya ubunifu wa kuweza kupunguza hili gap la wali wasio ajoriwa au wanawekeza nguvu kwenye mambo ya msingi na walim au watu wa kada ya elim siouhim kwao?
8. Basi kwanini wasipandishe hata vigezo (entry qualification ili kupunguza idadi ya wanaosomea ualim . Ili kuondoa migongano hii?
9. Je serikali haioni pia kwamba taasisi za elimu ya juu zinaibia wananchi wao? Kwanini maproffesor na ma doctor hawafanyi mabadiriko au marekebisho ya course kufanania mahitaji ya ulimwengu kwa sasa ?
Mfano mwalim hawez itumia elimu yake kirahisi tofauti na fani ya ualimu. Wameshindwa kuivunja au kuidiversify. Kwamba mwalim anaeza pia kua IT, au vyovyote vile.
10. JE GAP LA WALIMU WA VYETI FEKI NI LINI WALIKUA REPLACED?
Maswali haya kama yatabebwa na kusogezwa mbele vilivyo basi mageuzi ya sekta ya elimu hayapingiki.
Mwalimu SADATY H. DAUDI
@sadatydaudi@gmail.com