Maswali yasiyoulizwa kwenye mahusiano ila wengi wetu tunatamani kuyauliza

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari

Leo nimekumbuka mpenzi wangu wa zamani. Huyu nilipokuja kujua kwamba alishapataga gonjwa la zinaa (chancroid) nilishangaa sana kwamba nilikuwa na date na kimboka type.

Leo embu tuambieni maswali tunayotaka kuuliza kwa wenza wetu lakini tunaogopa mambo yasije haribikia njiani.

mfano mimi ningetaka kuuliza?

1. Nani alikubikiri?
2. Ulishawahi kufanya mapenzi sehemu mbaya?
3. Je ulishatembea na wanaume wangapi?

Hebu tiririkeni maswali mnayoogopa kuwauliza wenza wenu?
 
Hapo hakuna swali muhimu hata moja ... Ukishamjua aliembikiri utampa zawadi ama? Akikwambia nilifanya mapenzi kwenye kichaka utarudi kushuhudia kichaka kama kina hadhi ama? Na ukishajua kalala na wanaume wanatosha wachezaji wa timu ya mpira na mareserve juu utamnunulia private jet ama vipi? We mwendokasi umesimama kituoni panda mwendelee na safari huko.....
 
Hayo maswali yatakusaidia nini, inaelekea we bado chalii kwenye mambo ya MMU
 
Hivi nyie masupa mtindizz na mabebez wangu wa Jf Kwann mwanibania Papuchiloo?

-Mondray-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…