N nolakinabo Member Joined Feb 5, 2012 Posts 24 Reaction score 0 Feb 16, 2012 #1 jaman ndugu zangu nataka kujua hivi huwa serikali ni nani mpaka leo sielewi Mara serikali imekataza hiki majibu
jaman ndugu zangu nataka kujua hivi huwa serikali ni nani mpaka leo sielewi Mara serikali imekataza hiki majibu
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 51,303 Reaction score 40,190 Feb 16, 2012 #2 Kuna serikali nyingi, kuna serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu, kuna serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na serikali zingine. Wewe unaulizia serikali ipi mkuu?
Kuna serikali nyingi, kuna serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu, kuna serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na serikali zingine. Wewe unaulizia serikali ipi mkuu?
Achahasira JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,213 Reaction score 215 Feb 16, 2012 #3 nolakinabo said: jaman ndugu zangu nataka kujua hivi huwa serikali ni nani mpaka leo sielewi Mara serikali imekataza hiki majibu Click to expand... wewe unaonaje?
nolakinabo said: jaman ndugu zangu nataka kujua hivi huwa serikali ni nani mpaka leo sielewi Mara serikali imekataza hiki majibu Click to expand... wewe unaonaje?
N nolakinabo Member Joined Feb 5, 2012 Posts 24 Reaction score 0 Mar 13, 2012 Thread starter #4 kuna serikali ya jamuhuri ya muungano
N nolakinabo Member Joined Feb 5, 2012 Posts 24 Reaction score 0 Mar 13, 2012 Thread starter #5 jaman nataka kujiuna na freemason tanzania wanapatikana wapi nipen namba zao
Hussein J Mahenga JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 750 Reaction score 656 Mar 13, 2012 #6 nolakinabo said: jaman nataka kujiuna na freemason tanzania wanapatikana wapi nipen namba zao Click to expand... babu yko hana hzo namba? Mana,ke ni member mzur sana!
nolakinabo said: jaman nataka kujiuna na freemason tanzania wanapatikana wapi nipen namba zao Click to expand... babu yko hana hzo namba? Mana,ke ni member mzur sana!