Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sina mkuu, ila ni abiria mzoefu.Mkuu samahani siulizi kwa ubaya, wewe una gari?
Mataa hayana shida kabisa. Tatizo ni pale trafiki wanapoyaingilia na kuanza kuoendelea upande mmoja
Kwenye round abouts nakuunga mkono. Huwa ziko bomba sana
Kumbe hatuchekani mwamba.Sina mkuu, ila ni abiria mzoefu.
Mfano ile ya Moro Msamvu.Mkuu samahani siulizi kwa ubaya, wewe una gari?
Mataa hayana shida kabisa. Tatizo ni pale trafiki wanapoyaingilia na kuanza kuoendelea upande mmoja
Kwenye round abouts nakuunga mkono. Huwa ziko bomba sana
safi sana mkuu, siyo lazima uwe na kila kituSina mkuu, ila ni abiria mzoefu.
Hahahaha
Foleni inaongezeka kutoka na kuongezeka kwa idadi ya vyombo vya moto( magari , pikipiki , bajaji).Mataa yaliundwa ili kuongeza usalama kwenye makutano ya barabara. Lakini yana athari moja mbaya. Yanaleta foleni mijini.
Utafiti umefanyika umeonyesha kuwa roundabouts ni salama kuliko mataa na pia hazileti foleni.
Mfano hai: Zamani Mbeya kulikuwaga hakuna foleni. Lakini tokea waweke mataa eneo la mafiati kila mwaka nikienda nakuta foleni imeongezeka. Gari kwenye mataa lazima zisimame kusubiri zamu yao. Kwenye roundabouts hakuna hicho. Muda wote gari ipo kwenye mwendo.
Bahati mbaya wabongo na ushamba wetu tunadhani kuwa na mataa ni maendeleo!! Tuachane na habari ya mataa ya kuongozea magari. Tukomae na roundabouts