KERO Mataa ya Mbezi Shule kila leo hayafanyi kazi, foleni eneo hili ni kero kubwa

KERO Mataa ya Mbezi Shule kila leo hayafanyi kazi, foleni eneo hili ni kero kubwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Eneo hili nadhani lishasemwa sana mpaka nimekuwa sugu.

Au ni kitege uchumi? Madereva wafanye makosa muende kukusanya hela ya skukuu?

Mamlaka husika embu fanyeni kweli bana, hii sehemu inakera sana kama mataa hayafanyi kazi.

20241214_151918.jpg
 
Hapa siku hizi pamekua changamoto sana nyakati za asubuhi
 
Back
Top Bottom