Mataa ya urafiki apa Bodaboda amepasuliwa na daladala muda huu

Hivi tunavyo sensinalise vitu kama hii Taarifa sio sawa kabisa.

Na kama ipo sawa, basi, mtu akisema 'Babako amepasuliwa, iwe na Maana ameuwawa'?

Au DaDa yako katoka kwenda Bichi kapasuliwa. Hata kama alienda kujitanua tu ufukweni.

Hii sio sawa kabisa na inakiuka misingi ya kiuandishi na uwasilishaji wa Habari. An offence by the way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…