Mataabiko ya kimaisha anayopata msaliti baada ya usaliti

Tunawalaumu viongozi kusaini mikataba kumbe na sisi ni wale wale. unashindwa soma kurasa 2 za kiswahili utaweza mkataba wa kurasa 97 kwa lugha ya mkoloni

wacha kuku warudi bandani hakuna namna
 
USALITI? Sometimes ni kama wasaliti wanakuwa sahihi au sijui ndo DESTINY.

Mwaka 1 wa usaliti bado ana furaha na huyo aliyenisaliti naye bila kosa huku nikiwaona tu.
 
[/QUOTE]
Wote tunapaswa kuuogopa usaliti maana malipo ni duniani. Wote tuuchukie usaliti, maana unatuumiza sisi wenyewe.

[/QUOTE] Ni kweli. Hebu ongezea na hatua za kuchukua pale ambapo msaliti ametambua kosa lake na anatamani kupunguza athari za madhara yatokanayo na usaliti wake. Wapo wengi wanatamani hata kufa kwa mlolongo wa mapigo yanayofuatia usaliti/uasi walioufanya huko nyuma, na mara nyingi uasi huo huwa siri mbele ya macho ya watu bali madhara hutokea waziwazi hakuna kuficha kitu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…