Mataabiko ya kimaisha anayopata msaliti baada ya usaliti

Heeh ndefu ivo nan asome
Kiruu

hata jina lako linaashilia uliyoyaandika.
mimi nimesoma yote katika muda usozidi dakika kumi tu.
mwandishi anakumbusha kuachana na vitendo visivyo pendeza kumfanyia mtu maana vinarudi kule vilikotoka kama vilifanywa kwa ubaya , na ushahidi ninao mwenyewe, baada ya kutendewa mabaya bila sababu , basi walikuja rudi kule kule na katika staili mbaya zaidi
 
Nimeisoma mwanzo mwisho,,,,,, ni nzuri saaaanaaaa jamani kama mnamda someni no nzuri mno inafundisha,,,,, hao Nyumba ndogo sijui tuwasaidieje tu.... In wazuri sana ukibahatisha ila unatakiwa kua na masharti,,,,, sio mtu anaingilia Nyumba kubwa..... Mie hua nawapiga chini immediately wakianza hizo....... Conditional love,,,, applies on now days
 

majibu ya mabaya huwa ni kwa kila anina ya maovu yaliyofanywa kwa mtu bila sababu na si lazima yawe yanahusu mahusiano ya kimapenzi tuu, la hata mahusiano ya kikazi pia yanatokea. mimi shahidi
 

majibu ya mabaya huwa ni kwa kila anina ya maovu yaliyofanywa kwa mtu bila sababu na si lazima yawe yanahusu mahusiano ya kimapenzi tuu, la hata mahusiano ya kikazi pia yanatokea. mimi shahidi
 
safi sana. unajua lugha, unajua kuandika. Nasikitika pale mtu anapokosa ujumbe mzuri kwa kuhukumu maandishi kabla hata hajaanza kusoma. Kama ndefu sana basi soma aya ya kwanza, ya kati na ya mwisho.
 
Naam uzi mtamu kweli kweli, naona ulikosa wachangiaji wengi sababu itakuwa wengi ni wasaliti kwa namna moja au nyingine uzi haujatoa nafasi yoyote kwa wasaliti kujitetea... Nimejifunza kitu kikubwa sana hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…