Matabaka ya watumishi

Matabaka ya watumishi

Kidevu 1

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
94
Reaction score
63
Vigezo gani vinatumika kupanga mishahara ya watumishi wa umma?

Kuna tofauti kubwa sana ya mishahara kati ya watumishi wa mashirika na taasisi za serikali na wale wa halmashauri au serikali kuu. Kuna mashirika mengine hata dereva tu anamzidi mshahara engineer, mwanasheria au daktari wa Halmashauri aliyekaa shule miaka 5.

Kwanini serikali inatengeneza matabaka kwa watumishi wake?
 
Iyo ofisi unayofanya kazi INAZALISHA au inatumia tu?
 
Tofautisha support team na production team.
Mashirika yanazalisha kitu kinaonekana wanauwezo wa kujipangia mishahara.
Apart from that mashirika wana nidhamu ya kazi sana na wanajituma kuliko serikalini.
 
Back
Top Bottom