Man Mvua
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 2,183
- 3,521
Amani iwe juu yenu.
Uchaguzi ni ushawishi, Sera na misimamo ya mtu. Ili uchaguliwe inabidi uwe unauwezo wa kumshawishi mtu kupitia Sera zako na vipaumbele vyako. Waambie wananchi umefanya nini kama ulipewa dhamana ya uongozi na utafanya nini kuboresha zaidi kama unaomba tena upewe ridhaa ya uongozi kwa Mara nyingine.
Uongozi huu wa miaka 5 maisha yamekuwa magumu sana katika kila nyanja. Hakuna ajira, hakuna kupanda madaraja, hakuna kuongezewa mishahara ulikuwa mwendo wa kulimia meno. Wanyonge wakalalamika sana viongozi wakasema hao ni wakwepa kodi, wezi, mafisadi, watakatisha fedha na wavivu wa kufanya kazi. Wakasahau hao watu tajwa (mfano Abdulaziz na Abood) kamwe hawawezi kulia njaa au vyuma kukaza. Wale walikuwa wanyonge ila watawala walipuuza sauti zao.
Sasa miaka mitano imeisha WANYONGE zamu yao ya kudanganywa tena ila hawa wa safari hii wapo tofauti they argue, reason and question. Sasa wanaccm kila wanapo kutana na wananchi wanao reason huwaita Chadema. Hili nalo ni kosa kama makosa yaliofanyika huko nyuma kumdanganya bwana mkubwa mambo yanaenda vizuri wakati jumba linabomoka, sasa mna kazi kubwa ya kumjazia watu kwenye mikutano ili iendane na ile hali mliyomwaminisha.
WANACCM SIO KILA ANAYE WAKOSOA NI MWANACHADEMA SIE WENGINE NI CCM DAMU ILA HATUTAKI KUBULUZWA KAMA WENGINE KISA VIPESA VIDOGO VIDOGO.
SASA NIPENI SABABU YA HAWA KUPIGA KURA KWA CCM YETU TUKUFU:
1. Asiye na ajira tangu 2015
2. Aliyebomolewa nyumba bila kulipwa.
3. Waliokosa mikopo ya chuo kikuu
4. Watumishi bila ongezeko la mishahara tangu 2015.
5. Walimu ambao hawajapanda madaraja tangu 2014 akiwemo mke wangu mpendwa.
6. Walioporwa pesa zao bureau de change kwa kuonewa.
7. Watumishi hewa walionyima mafao yao.
8. Wale vilaza wa UDOM (kama mlivyo waita ninyi)
9. Wale wanao ishi kwa mlo mmoja kutoka kula milo mitatu.
10. Wazee waliokosa mafao yao kwa zaidi ya miaka miwili na wale waathirika wa FAO LA KUJITOA.
NA WENGINE WENGI.
WANACCM, embu washawishini hayo makundi kumi ya watu yawapigeni kura nipo hapa nasikiliza.
Mtanzania huru