Mataifa 20 yenye elimu bora duniani

Mataifa 20 yenye elimu bora duniani

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Hivi majuzi tulikusanya orodha ya Nchi 20 Bora zenye Mfumo Bora wa Elimu Duniani na katika makala haya, tutaangalia nchi inayoongoza kwa mfumo bora wa elimu duniani.

Mitindo ya Elimu Ulimwenguni Takwimu kutoka kwa ripoti ya Takwimu ya Elimu ya Juu ya Ulimwenguni ya UNESCO iliyotolewa mwaka 2022 inaonyesha kuwa taasisi za elimu ya juu kote ulimwenguni zilikuwa na zaidi ya wanafunzi milioni 235 walioandikishwa kufikia 2020.

mataifa yenyewe yako wapi??
 
Cheki tena hapo 🖕
 
mataifa yenyewe yako wapi??
Hiyo list kwenye link ni fake kabisa. Nilipokutana na India nikaacha kusoma. India kuna elimu nzuri lakini pia kuna elimu mbovu sana na forgery kwenye mitihani na elimu ni nyumbani kwake.
 
British na USA ndio nchi zenye best system of education Duniani na nchi zote zinazotumia British curriculum kwenye level zote za elimu haziwezi kukosa kwenye list ya nchi zenye elimu bora Duniani.na British curriculum ni one of the best curriculum ambayo taifa lolote linayohitajika kufika mbali kielimu inabidi watumie
 
Hivi majuzi tulikusanya orodha ya Nchi 20 Bora zenye Mfumo Bora wa Elimu Duniani na katika makala haya, tutaangalia nchi inayoongoza kwa mfumo bora wa elimu duniani.

Mitindo ya Elimu Ulimwenguni Takwimu kutoka kwa ripoti ya Takwimu ya Elimu ya Juu ya Ulimwenguni ya UNESCO iliyotolewa mwaka 2022 inaonyesha kuwa taasisi za elimu ya juu kote ulimwenguni zilikuwa na zaidi ya wanafunzi milioni 235 walioandikishwa kufikia 2020.

Hahaha wasomali wanasemaga hao siyo waafrika eti waarabu na waarabu wenyewe wanawabagua. Kumbe elimu yao ni zero. Halafu wasomali wametutungia jina la dharau sisi waafrika wengine JAREEEL
 
Back
Top Bottom