Mataifa makubwa yasitupotezee wakati, tuangalie ya kwetu

Mataifa makubwa yasitupotezee wakati, tuangalie ya kwetu

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Ukisikiliza mikwara baina ya Marekani na China kuhusiana na bahari ya Pacific na vita vya kibiashara utafikiri kesho tutaamka kombora limetua Washington au Peking.

Halafu ukasikiliza mikwara ya Urusi na Marekani kuhusiana na vita vya Ukraine utafikiri kesho ndio mwisho wa amani na nyuklia itatumbuliwa muda wowote ule/

Mara rais Xi akutana kwa Tabasamu na raisi Biden.Papo hapo mkuu wa CIA azungumza na mwenzake wa KGB na Kremlin kuhusu kuendeleza vita lakini kwa usalama bila matumizi ya nyuklia.

Sisi mataifa madogo tushike aKILI zetu VYEMA na tuangalie ya kwetu. Hawa watu wanatupotezea muda na kutugeuza watumwa wa sarakasi zao. Hawana ugomvu wa kweli.

Kama hawawezi kupigana dunia ikaishi kwenye amani basi tutengane nao tuunde umoja wetu peke yetu.

1668502288514.png


1668501641772.png
 
Aliyetishia nyuklia alishakufa au? Mbona mpaka Leo kimyaaaaaaa!!

Urusi kubwa jinga
 
Ni mengi tunapangwa na kuendelea kuyapa time maana yake ya kwetu yasimame
 
Back
Top Bottom