Mataifa yanayo ongoza Afrika kwa uchafu na ukosefu wa vyoo - hivi vipau mbele Afrika ni nini kwa kweli

sio kila comment tunakuwa tunacomment jinsi tulivyo upstairs .Comment nyingine tunaweka tu kwaajili ya kuentatain halafu nikuindoe wasiwasi wako juu ya majitu ya ccm mimi si miongoni mwao kabisa.

Kuhusu mvi kila mahali haikuondolei haki yako ya kuwa kichaa kwa kuwa hats vichaa huwa mnazeeka
 
Kibera ukubwa wake hata sio 0.001% ya Nairobi nzima. Alafu ule mradi wa NYS 2015/16 wa uboreshaji wa miundo mbinu kama mabarabara, madaraja na usambazaji wa umeme kwenye vitongoji duni uliandamana na ujenzi wa vyoo vingi sana pia, vya umma.
Sasa kama maji nairobi hayapatikani je kibera yanawafikia? kama hayawafikii je wanatawadhia nini?
 
Maskini Tanzania. Kila sifa mbaya haikosi
 
Sasa kama maji nairobi hayapatikani je kibera yanawafikia? kama hayawafikii je wanatawadhia nini?
Nairobi maji hayapatikani? Kwa hivyo watu wanaishi kama ngamia? Sasa mbona Kenya hatupo kwenye hiyo list hapo juu? Pambaneni na hali yenu bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…