bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Kaa chonjoo mwana JF
Tumeshasikia sanaa maisha hayana formula kinaweza pulizwa Kipenga pyeee nyuma geuka, wa mwisho akawa wa kwanza na wa kwanza akawa wa mwisho. Tupo hapa bongo land tumerelax sana huku tukiyakandia baadhi ya mataifa kwamba hayana amani. What if hizi nchi zilizo kwenye vita zipo mbele ya muda tuu na Vita inakuja kuzijia nchi zote!
Sina maneno mengi wananchi wa hizi nchi watapita vizuri tuu kwenye vita ya tatu. Naaza na waafrika
Congo
Hawa ni machalii tu huko congo
Ethiopia
Waithiopia historia ina waweba na wana watu wengi vita Kwao ni kama kunywa maji.
Somalia
Somalia watu wamezaliwa kwenye vita hata ikitokea wao maisha yao bado kama kawaida tuu. Hapo juu ni pisi kali!
Nakuja kwa dunia sasa
Marekani
Raia wa marekani wana hamu sana na Vita! Hawa wananchi ndio watasurvive hata yakitokea Mazombi.
Watalebani
Ukisikia kisiki cha mpingoo hawa watu, hamna haja ya kuwaongelea sana kama unabisha kapime maji!
Warusi
Hawa jamaa hawaitaji intro picha hapo ni majirani zao ndugu zao ukraine.
Last waisrael
Hawa nawaweka kwa sababu wana tactick bora za kivita ajabu, pia viongozi wao wapo assertive hawaitaji majadiliano katika maamuzi kitu ambacho ni bora kabisa vitabu.
Haya kwenu nyinyi KISIWA CHA AMANI inasikitisha sana tutakavyo pagawa wananchi pale Dunia itakapo amua kuvaa dera.
Ongezea taifa ambalo unaona nimeliacha weka na sababu.