INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

285/60R18 anazo kwa sasa Na Ni Bei gani?Nafunga kwenye Land Rover Discovery 3
 
tunazo mkuu. kwa bridgestone size 285/60R18 bei yake ni 585,000 kwa moja. mimi ntakupa super discount ukichukua 4 ntakuuzia 530,000 kwa moja. Warranti km 50,000. utakaa nazo miaka 10. i guarantee that.
 
Nitakuja Na milioni mbili Na laki moja kwa zote nne mkuu najua utanipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…