INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

MABADILIKO YA BEI ZA MATAIRI YA BRIDGESTONE KATIKA DUKA LETU KWASASA
BEI NI YA TAIRI MOJA.

155R12C - 185,000/
175/70R13- 190,000/
175/70R14- 185,000/
185/65R14- 222,000/
195R14C- 300,000/
195R15C- 365,000/
195/65R15- 230,000/
195/55R15 - 220,000/
205/65R15- 220,000/
205/70R15- 260,000/
215/65R15- 265,000/
215/75R15- 340,000/
31X105015 R15 - D673- 450,000/
31X1050R15 - D697 - 530,000/
205R16- 384,000/
205/50R16- 270,000/
225/70R16- 360,000/
225/55R16- 350,000/
215/70R16- 300,000/
215/80R16- 436,000/
235/80R16- 420,000/
235/85R16-490,000/
245/70R16- 410,000/
265/70R16- 480,000/
225/70R16- 380,000/
265/65R17- 490,000/
275/65R17- 600,000/
245/75R17- 450000/
225/65R17- 350,000/
255/60R18- 500,000/
285/60R18- 600,000/

OFA KWA TAIRI ZA LAND CRUISER MKONGE -

750R16 - D697- 520,000/

OFA KWA TAIRI ZA CANTER
700R16 - 450,000/
750R16 - M857- 690,000/

TAIRI ZA EICHER NA TATA
825R16- 770,000/

TAIRI ZA FUSO NDOGO -
1100 R20- 1,350,000/

TAIRI ZA FUSO KUBWA
1200 R20- 1,500,000/

TAIRI KUBWA ZA KICHINA RHINO KWA AJILI YA SCANIA

SIZE- 315/80R22.5 - 500,000

SUPER SINGLE SIZE - 385/65R22.5 - 610,000

KWA SIZE ZINGINE PIGA SIMU- 0689866100. AU FIKA OFISINI MSASANI KITUO CHA MACHO.
 
Mkuu namba sijui..naulizia yale ya harrier bei gani?
 
Mkuu namba sijui..naulizia yale ya harrier bei gani?
Kwa size za tairi ya Harrier zipo size za aina tatu kuna:
215/70R16- Bei 300000.
225/70R16- Bei 360000
225/65R17 - Bei 360000
Sasa sijajua size ipi inafunga kwenye gari yako. cheki mwenyewe kwenye tairi yako halafu uangalie bei niliokuwekea hapo.
 
Warranty ipo?
Nilinunua Bridgestone pale Msasani General Tyre baada ya wiki tairi zikawa zinavuja kama chekeche.
 
Warranty ipo?
Nilinunua Bridgestone pale Msasani General Tyre baada ya wiki tairi zikawa zinavuja kama chekeche.
warranty ipo na bado nakuuzia kwa bei nafuu. kampuni yetu sio general tyre, sisi ni Quality Motors ltd, Ofisi yetu ipo msasani kituo cha macho. njoo ukague matairi yetu ni brand new na ni matairi magumu. tunakuonyesha na manufacturing date.
 
MABADILIKO YA BEI ZA MATAIRI YA BRIDGESTONE KATIKA DUKA LETU KWASASA
BEI NI YA TAIRI MOJA.

155R12C - 185,000/
175/70R13- 190,000/
175/70R14- 185,000/
185/65R14- 222,000/
195R14C- 300,000/
195R15C- 365,000/
195/65R15- 230,000/
195/55R15 - 220,000/
205/65R15- 220,000/
205/70R15- 260,000/
215/65R15- 265,000/
215/75R15- 340,000/
31X105015 R15 - D673- 530,000/
31X1050R15 - D697 - 530,000/
205R16- 384,000/
205/50R16- 270,000/
225/70R16- 360,000/
225/55R16- 350,000/
215/70R16- 300,000/
215/80R16- 436,000/
235/80R16- 420,000/
235/85R16- 530,000/
245/70R16- 410,000/
265/70R16- 480,000/
225/70R16- 380,000/
265/65R17- 490,000/
275/65R17- 600,000/
245/75R17- 450000/
225/65R17- 350,000/
255/60R18- 580,000/
285/60R18- 600,000/

OFA KWA TAIRI ZA LAND CRUISER MKONGE -

750R16 - D697- 520,000/

OFA KWA TAIRI ZA CANTER
700R16 - 450,000/
750R16 - M857- 690,000/

TAIRI ZA EICHER NA TATA
825R16- 770,000/

TAIRI ZA FUSO NDOGO -
1100 R20- 1,350,000/

TAIRI ZA FUSO KUBWA
1200 R20- 1,500,000/

TAIRI KUBWA ZA KICHINA RHINO KWA AJILI YA SCANIA

SIZE- 315/80R22.5 - 500,000

SUPER SINGLE SIZE - 385/65R22.5 - 610,000

TUPO MSASANI, KITUO CHA MACHO, DAR. SIMU- 0689866100
 
Mtaalam naona manambanamba tu mwaka wa kutengenezwa tairi ni upi hapo maana nakipando changu kimetoka Jp juz nimeshauriwa nikivue tairi mwenye kujua tafadhari na kama ni lazima ukinunua gari uvue tairi ilizokuja nazo?
 
Naomba kujua bei ya size uliyoitaja hapo mwisho kabisa ingawa hamna
 
205/7OR15/T honda cr v
Sijui niko sahihi hapa naomba msaada yaliyopo ni LinkLong
 
205/7OR15/T honda cr v
Sijui niko sahihi hapa naomba msaada yaliyopo ni LinkLong
205/70R15- Zipo mkuu. bei zake ni 312700 kwa moja. punguzo ntakupa 280,000 kwa moja. hizo ni bridgestone
 
Naomba kujua bei ya size uliyoitaja hapo mwisho kabisa ingawa hamna
tunazo hayo matairi, stock imeshaingia kitambo. 195/65R15 - bei yake ni 210,000 kwa moja. na tuna 195/55R15- 220,000 kwa moja. hizo ni bridgestone.
 
tunazo hayo matairi, stock imeshaingia kitambo. 195/65R15 - bei yake ni 210,000 kwa moja. na tuna 195/55R15- 220,000 kwa moja. hizo ni bridgestone.
Tofauti ni nini hapo hzo 65R na 55R, je zinafaa kwa toyota wish? Another ting nahitaj gar inyanyuke kidogo maana niliweka spencer ila naona bado iko chini je size ipi itafaa? Kwa sasa tairi nayotumia ni hyo 65R, nitashukuru kama utanijibu
 
Mtaalam naona manambanamba tu mwaka wa kutengenezwa tairi ni upi hapo maana nakipando changu kimetoka Jp juz nimeshauriwa nikivue tairi mwenye kujua tafadhari na kama ni lazima ukinunua gari uvue tairi ilizokuja nazo?
matairi tunayouza zote zimetengenezwa 2016. kuhusu swali lako la pili, kama gari yako imekuja na matairi kipara, ni bora uvue, uvalishe upya. lakini kama matairi bado yanaonekana mapya hamna haja ya kuyatoa. endelea kuyatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…