Babafetty
Senior Member
- Nov 11, 2013
- 107
- 108
habari,
Nina tumia gari ndogo, aina ya toyota starlet, gari imekua nzito sanaa, hvyo kufanya isiwe na mwendo wa kasi,
nilipeleka kwa fundi akatengeneza ila tatzo halikupona, nikarudisha tena, baada ya km siku tatu, bado naona tatzo linaendelea.
naomba mwongozo kwa wenye ufahamu wa kutosha katika hili.