Matairi ya mbele starlet kujam na kukosa ufumbuzi

Babafetty

Senior Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
107
Reaction score
108
habari,

Nina tumia gari ndogo, aina ya toyota starlet, gari imekua nzito sanaa, hvyo kufanya isiwe na mwendo wa kasi,

nilipeleka kwa fundi akatengeneza ila tatzo halikupona, nikarudisha tena, baada ya km siku tatu, bado naona tatzo linaendelea.
naomba mwongozo kwa wenye ufahamu wa kutosha katika hili.
 
Naomba kufahamu fundi aliye pelekewa aligundua nn kisababisha kujam na alitengeneza nn
 
Niko dar...hainisumbui...ila cjui labda kwa sababu mm mwenyewe fundi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Badilisha fundi. Kwani huyo anakutengenezea bure au ni shemeji yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…