Ni mapya kabsa ila watu wanavyosema matairi kutoka nje yanakuwa sio imara kwa ajili ya barabara zetuYes kama bado ni mazima na imara, mchek fundi ayaangalie kwanza kama yana ubora wa kupiga route ndefu
Mimi nilipiga nayo kutoka Dar mpk Tarime na kurud yakiwa mazima
Si uangarie kama bado hayaja expire? Tairi haiangariwi threadsNi mapya kabsa ila watu wanavyosema matairi kutoka nje yanakuwa sio imara kwa ajili ya barabara zetu