Matajiri hawataki ujue hili

Aise pitia uchukue soda mkuu
Nimependa ulivyoelezea kwa hisia na ukweli kuishi maisha yako
Hii kitu huwa inaniudhi kila siku kweny masemina ndo wanatumia na wenyew asilimia kubwa hawafuati
Haya maisha yanafurahish sana sometm
ISHI MAISHA YAKO NA UJUE UNATAKA NN KAMA WW ULIVYOELEZEA KAA CHINI ANDIKA MIPANGO JUA KIAS KIL KITU NA NAMNA UTAKAVYO WEZA KUFIKIA
Na si kulishana makanuni na maisha yenyew mafupi[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji121]
 
Tumia huu ujuzi na ww utajirike, ukisha tajirika utatuletea mrejesho hapa mkuu.
 
Ynagu ni tecno ya tochi.
Na mimi ni tajiri nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…