Ukiwa kwenye kazi yako ya uboda mkeo huwa anabaki na nani nyumbani? Je,upo tayari kuacha uboda ili tu asichepuke?Sijui nipambane niwe tajiri au nibaki na kazi ya pikipiki?
Anyway,Bora tu udereva ..mke anauma aiseeh[emoji28]
Kutokana na maelezo ya mleta mada ni kuwa dereva pikipiki nafasi ya kuchapiwa ni ndogo sana 😅Ukiwa kwenye kazi yako ya uboda mkeo huwa anabaki na nani nyumbani? Je,upo tayari kuacha uboda ili tu asichepuke?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mara nyingi wanawake wanatoa mzigo kwa boda boda ili ibaki kuwa siri boda asivujishie mahali anampompeleka mteja wakeKutokana na maelezo ya mleta mada ni kuwa dereva pikipiki nafasi ya kuchapiwa ni ndogo sana 😅
Oh kumbe !nilifkiri wanawapenda kumbe ni malipo ya kufichiana siriMara nyingi wanawake wanatoa mzigo kwa boda boda ili ibaki kuwa siri boda asivujishie mahali anampompeleka mteja wake
Subiri nawe upate utajiriMara nyingi tunapishana gesti na wake za matajiri hapa mjini! Na wanaowanyandua ni vijana wa kawaida kabisa kama boda boda au ma house boy wao!
Mnafeli wapi? Nyinyi matajiri? Wanyandueni wake zenu kwenu hawajafuata hela wamefuata mapenzi wapeni haki zao !
Nakazia hapakuuHao unaokutana nao guest hawakustahili kupata heshima ya kuolewa, Kama anajiheshimu na kutambua nafasi yake hawezi kutoka na houseboy au bodaboda wake.